Ruka kwenda maudhui

Muundo wa Taasisi

Bodi inasimamia. Mkurugenzi Mkuu anaongoza idara za Rasilimali Watu, Fedha, Mipango na Biashara, na Afya, pamoja na vitengo vya TEHAMA, Sheria, Ukaguzi, Manunuzi, Matengenezo, na Usalama.