Sera ya Faragha
Shirika la Masoko ya Kariakoo linaheshimu faragha ya watumiaji wa tovuti hii kwa mujibu wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, 2022.
Tunaweza kukusanya jina, barua pepe, na namba ya simu unapotuma fomu ya mawasiliano. Taarifa hizo hutumika kujibu ombi lako tu.
Tovuti inaweza kutumia vidakuzi vya kipindi kwa lugha na usalama. Hatuziuza taarifa binafsi kwa wafanyabiashara.